Do You Love To Worship? Here Are The Lyrics Of Naomba By Adawnage

Do You Love To Worship? Here Are The Lyrics Of Naomba By Adawnage

Here are the Lyrics of Naomba By Adawnage

NAOMBA is a prayer asking The Potter to make us and mould us so that we may become more like Him; to hide us in His arms and make us His worthy vessels.

adawnage thumb uliza

Adawnage Band.

NAOMBA BABA, MIMI NAOMBA, MIKONO NIMEINUA
NISHIKE BABA, UNIFICHE MIKONONI MWAKO
NIONYESHE BABA WEMA WAKO, UNIFANYE CHOMBO CHAKO
NAOMBA, NAOMBA, BABA MI YE NAOMBA

SIKUDHANI MIMI NIMEKUPA WEH, HUZUNI KIASI HICHO
DHAMBI MINGI, MAOMBI HAYATOKI NISAMEHE BABA
UCHOVU NA UVIVU UMENIJAZA, MOYONI SINA AMANI
NAOMBA UNIPE RAHA, MSAMAHA, NAOMBA UWASHE TAA
POPOTE NIENDAPO CHOCHOTE NIFANYACHO SASA, NIFUNGUE MACHO
NIPATE KUONA, NA KUHISI, NIPATE UPAKO WAKO

NAOMBA BABA, MIMI NAOMBA, MIKONO NIMEINUA
NISHIKE BABA, UNIFICHE MIKONONI MWAKO
NIONYESHE BABA WEMA WAKO, UNIFANYE CHOMBO CHAKO
NAOMBA, NAOMBA, BABA MI NAOMBA

SIKUDHANI MIMI NIKITELEZA, NAKUSULUBU TENA
UCHUNGU MWINGI, MACHOZI YAKUTOKA WEH, NISAMEHE BABA
UNIZIBIE UFA, NISIJENGE UKUTA, BWANA UMETUKUA
NAOMBA UNIPE RAHA, MSAMAHA, NAOMBA UWASHE TAA
POPOTE NIENDAPO NIFANYACHO SASA, NIFUNGUE MACHO
NIPATE KUONA, NA KUHISI, NIPATE UPAKO WAKO

NAOMBA BABA, MIMI NAOMBA, MIKONO NIMEINUA
NISHIKE BABA, UNIFICHE MIKONONI MWAKO
NIONYESHE BABA WEMA WAKO, UNIFANYE CHOMBO CHAKO
NAOMBA, NAOMBA, BABA MI YE NAOMBA

CONTACT US :

Email : [email protected]