Lyrics Alert!! : Mwaminifu By Christine Ndela Ft Rozina

Lyrics Alert!! : Mwaminifu By Christine Ndela Ft Rozina

Here are the lyrics of “Mwaminifu” By Christine Ndela Ft Rozina

Verse 1

Nakuitaa Mwaminifu!!

Upendo wako kwangu wa kuaminika 
Maneno yako yaniburudisha moyo  x2

Nalizingatiaa penzi lako kwa dhati 
Nayaminii maneno yako matamu  x2

Chorus:
Mwaminifu, siku zote 
Jehovah Shammah, Mkarimu  x2

Verse 2

Wema wako unadumu siku zote 
Huruma zako, kamwe hazitakoma  x2

Heri nione wema wako maishani   
Nikumbatie, na huruma zako x2

Chorus:
Mwaminifu, siku zote 
Jehovah Shammah, Mkarimu  

CONTACT US :

Email : [email protected]