in

Lyrics Alert : “Najua Upo” By Danny Gift

Danny Gift released a very deep single called Najua Upo which speaks to the heart. If you have listened to this song you will definitely feel like just wanting to know more of Jesus Christ.

danny gift

Find Below the Lyrics of Najua Upo By Danny Gift

NAJUA UPO LYRICS
Aaaaaaaa……
Lalalala………
DANNY GIFT mara tena aaaaa…..
Kwenye beat ya JACKY B……..
Aaaaaaaaa……….lalalalala……..
Nimekuwa nikijiuliza tena kwa sana mbona umeniandama aaaaa
Hata iwe jinsi mimi nilivyo nikutumikie eeeeieee
Mbona aaaa, mbona umeniangalia sana aa
na si ati mimi ni spesheli ama iwe nimetenda wima

Lakini umeniona

Tena umenichagua aa
Sasa mimi na wewe
Hadi mwisho wa dahari
Mziki talanta ulionipa mimi nitakusifu ,
nakupenda unanipenda mimi ndo maana mi naimba aaaaa

Najua upo aaaaaaaaa
najua kwamba Baba upo
umenitengeneza aaa
ndo maana mi naimba aaaaa x2
aaaaaaa, Baba upo,( Baba upo), najua Baba upo, (najua kwamba baba upo) aaaaaaaa

Najua kuna wenye mali na majina makubwa lakini umeniona mimi
Kiburi na woga zote ni visababu mimi nimeshavipiga teke
Niko mbele zako Baba nitumie jinsi upendavyo maanake
Mwili urembo na maringo yake yote ni chakula cha mchwa aaaaaaa

Lakini umeniona
Tena umenichagua aa
Sasa mimi na wewe
Hadi mwisho wa dahari
Mziki talanta ulionipa mimi nitakusifu , oooouooh
nakupenda unanipenda mimi ndo maana mi naimba aaaaa
najua upo aaaaaaaaa
najua kwamba Baba upo
umenitengeneza aaa
ndo maana mi naimba aaaaa x2
(aaaaaaaaaa, lelilelelala, najua upo, wewe upo, lalalalala)
Najua upo, upo, najua upo
Najua upo, upo, najua upo
Najua upo, upo, najua upo
Najua upo, nakupenda unanipenda mimi eeeeiiiiiiiiiiiiii
najua upo aaaaaaaaa
najua kwamba Baba upo
umenitengeneza aaa
ndo maana mi naimba aaaaa x4
(uooooooooh, najua kwamba Baba upo, aaaaaaaa, mi najua Baba upo, aaaaaaaaaiyayaya, aaaaaaa)

What do you think?

Comments are closed.

6 Comments

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Pic Of The Day : A Cartoon “Hopekid”

SAD!! : Father Kills Son For Calling Him “Old”