Lyrics Alert!! Nani Kama Wewe by Gloria Muliro ft. Man Ingwe & Mercy Linah

Lyrics Alert!! Nani Kama Wewe  by Gloria Muliro ft. Man Ingwe & Mercy Linah

Here are the lyrics of Nani Kama Wewe by Gloria Muliro featuring Man Ingwe and Mercy Linah.

Ni nani kama wewe  x3
Mungu mkuu  (Repeat)

Kwa neno lako Bwana 
Uliumba dunia na vyote vilivyomo 
Jina lako Baba, limeinuliwa juu ya yote 
Hakuna, hakuna kama wewe 

(Refrain)

Uinuwae wanyonge 
Wawaketisha na wafalme 
Hakuna uwezaye tenda ila wewe 
Nikitazama maisha yangu 
Ulikonitoa Yesu wangu 
Nina sababu ya kusema, ni wewe pekee 

(Refrain)

Nani mwenye uwezo 
Nani mwenye rehema tele 
Nani mwenye enzi kama yako 
Ni wewe pekee 
Wastahili sifa zote 
Mbinguni na duniani Baba 
Twakusujudu, twakuabudu, twakuheshimu 

(Refrain)

Umetukuka adonai, el shadai
Mungu mwenye nguvu 
Ni nani mwingine kama wewe 
Hakuna wa kulinganishwa na wewe Baba 
Nani kama wewe Baba/Yahweh 

CONTACT US :

Email : [email protected]