in

Lyrics Alert!! Sina Chorus By Rigga

Here is the lyrics of Sina Chorus by Rigga

Sina doo, sina ndai, sina chorus x4
Sina chorus

Niwie radhi nina maswali mengi
Nimekosa mwelekeo natufuta purpose
Kupata wera tafash.
Nasaka waks ndio nipate kwangu angalau
Cheki marafiki vile wameendelea
Vipi miendeo yao umependelea
Ukanisahau for real
Kuuliza si ujinga, sio madharau
Pata shahada, lipa mshahara,
mkwanja isikuwe lengo langu kuu
Nakusikiza nisivunjike guu
Nimekosa bus fare inabidi kaguu
Ni nini nitado, ni nini nitafanya
Nikishinda rat race bado mi ni panya
Staki huzuni nakulia
Nifunze tafadhali nisifunzwe na dunia

Chorus:
Sina chorus x3 lakini mi mind
Sina dough x3 lakini mi si worry
Sina ndai x3 lakinin nitawahi
Nitawahi x3

Miaka nenda, miaka rudi njumu zangu zile zile
Siku down sana, lakini kuna vile
Nishughulikie nisort kiasi
Angalau ndula mpya, mavazi…
Ndio nikuwe mbele hii CV,
Nipate works poa ndio nijenge hii CV
Ntatia bidii kwa wenzangu nitarank
Lazima niwe na security kwenye bank
Nijitegemee kidogo,

Kabla ya kutafuta kidosho

Nioe malkia tupate mtoto
Tuwe kwa hali njema sio msoto
Bado tatizo, bado niko shidani
Kujitoa humu kwa nguvu zangu
Mimi sidhani nitatoboa Itabidi umeniokoa,
Wanasema kukufuata nimenoa

(Chorus)

Kufuata miaka kadhaa na sijapata chapaa nyingi
Lakini umenisort mahitaji
Malap kadhaa bila ya kulipa shilingi
Nashindwa pesa zilitoka wapi?
Bila kusanya mimi sio crookman
Umeprovide so unastahili shukrani
Nikicheki future ninababaika
Na sawa[?] pahali tumetoka, pahali tumefika
Nikiworry ni lini nitamarry
Ni lini nitasave enough nibuy gari
Ni lenge cladi za mtush
Exhibition iko worth more kuliko dush
Mission ndio nafaa kuzingatia
Siweszi outshine maua hata supra nizing’aria
Sina million lakini nimeangukia
Follow the leader, mola wewe tangulia

(Chorus)

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Meet The Nikolinked Stand up Comedian – Nabe

Ringtone Releases His New Video “Mungu Yupo” (Watch Here)