in

Lyrics : Pamoja By Zidi The Band

zidi band1

Here are the Lyrics Of Pamoja By Zidi The Band

Skiza bwana mkubwa wapiga domo bure. (buree)

Tembeza gari lako hadi kule ukaone. (ukaone)
Mipaka yateketea, jirani wahofia,
Ya kwamba tutaangamizana ukiangalia.

Tunaomba utusikize eh eh
Sisi Wakenya kutoka kotee X2

Nipe amani, nipe amani, nipe amani ili tuishi pamoja X2

Mbona wachochea mbona wakubalia,
Kutumika vibaya kuleta balaa,
Chuki na ukabila zaturudisha nyuma,
Haifai, Haifai iyee eeh eeh.

Tunaomba utusikizee, sisi wakenya kutoka kotee x2

Nipe amani, nipe amani, nipe amani ili tuishi pamoja x2

pamoja, pamoja, pamoja tuishi pamoja (repeat)

What do you think?

Written by Link Press

Uliza Links Team
Email :info@ulizalinks.co.ke
Phone : 0727041162
CPT HSE, Forest Road, Parklands

Whats Your Take!! Should Christian Women Wear Trousers?

8 Things You Need To Know About Deejay Sanch