Lyrics : Tam Tam By Willy Paul Ft Size 8

Lyrics : Tam Tam By Willy Paul Ft Size 8

Here are the lyrics of tam tam by Willy Paul Ft Size 8.

Tam Tam willy paul ft Size 8 uliza

Willy Willy Willy (Willy Paul Msafi)
Number Nane Nane (Size 8)
Mmm… Alemba Aliamua Oh, Oh, Aliamua,
Dj Mo Akaamua Au aahhh, Ahhh (Teddy B)

Verse 1(Willy Paul)
Dj Mo Umemupa Ni Wake, Number Nane.. Size 8,
Krowbar Ukampa Niwake Nana, Nana, Joy…
Gloria Muliro Ukampa Ni Wake, Pastor Omba Eeh..
Soxxy Ukampa Ni Wake Akamficha.. Eh…
Dj Moz, Ukampa… Eh Mzungu Ah Eh.
Na Mi Nashindwa, Wangu Willy Ni Nani, Eeeh,
Ama Mubukusu, Mubukusu Aaahhh,
Sijui Kama Yellow Ama Brownskin,
Number Nane Nieleze Kweli Nimeshindwa,

Chorus(Size 8 & Willy Paul):
Unataka Mke Mwema, Ni Nani Atanipa,
Heh! Unataka Mke Mwema, Oh Ni Mungu Atakupa Wewe,
Nafaham Mapenzi Kitam Tam Tam Tam Tena Sana,(Tam Tena Sana)
Unafaham Mapenzi Kitamu…
Kitamu… Kitamu Sio Utani,
Kitamu… Kitamu Sio Utani, aah,
Tam Tam Tam, Tam Tam Tam, ,
Tam Tam Tam Tam

Verse 2(Size 8):
Juzi Nilikuona Na Kabinti Eh,
Hakunipendeza Eh,
Vazi Lake No, Willy No,
(Willy Paul)
Nieleze Siri Ya Mapenzi, Dada,
Nieleze Siri Ya Mapenzi, Number Nane
(Size 8)
Oh Willy Wewe Willy,
Usitafute Wawili,
Muombe Mwenyezi,
Usijitie Kitanzi,
Oooh, Ukisahau Mwenyezi,
Utajipiga Mateke,
Utajipiga Mateke,

CHORUS:

Verse 3:
(Willy Paul)
Kweli Nimekubali Jehovah Ndiye Wakupeana Mke Mwema,
Mke Mwema Ah, Ah, Ah, Ah, Mke Mwema Ah,
Mmm, Emmy Naye, Mnaija,
Uhuru Naye, Maggie, Maggie,
Raila Naye, Ida Ida,
Kalonzo Musyoka, Hatujui,
Bishop Kiuna, Kathy,
Na Mimi Naye Wangu Ni Nani
(C) redefdined media

CONTACT US :

Email : [email protected]

Tagged with