Lyrics : Umetenda Mema Kambua

Lyrics : Umetenda Mema Kambua

Artist:Kambua
Song:Umetenda mema

Nakushukuru Wewe, nakutukuza Wewe
Umenitendea mambo ya ajabu
mimi niseme je, ili nikushukuru
nasema Ewe Mwungu Umenitendea

CHORUS
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba

Wimbo wa moyo wangu na nafsi yangu yote
yasema Ewe Mungu Umenitendea
Maisha yangu yote nakutolea Wewe
kwa maana Ewe Baba, Umenitendea

CHORUS
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba

Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba
Ewe Yesu wangu

Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba

Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba
Umetenda mema, Umetenda mema
Umetenda mema, ndio maana naimba

CONTACT US :

Email : [email protected]