Lyrics – Watu Wote Kambua

Lyrics – Watu Wote Kambua

Artist: Kambua
Song: Watu Wote

Watu wote, pazeni sauti
Mwimbieni Bwana wimbo mpya enyi watu wote
Mwimbieni Bwana nchi zote kwani astahili
Mwimbieni Bwana viumbe vyote pazeni sauti
Mwimbieni Bwana, yeye ni mkuu

CHORUS
Watu wote, paza sauti sifu Bwana
Viumbe vyote, sifuni Bwana astahili
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana

Malangoni mwako naingia na shukrani
Nyumbani mwako sifa nitaimba
Nitashuku nitahimidi jina lako
Jina lililo kuu kuliko yote

CHORUS
Watu wote, paza sauti sifu Bwana
Viumbe vyote, sifuni Bwana astahili
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana

Let everything that has breath praise the Lord

Let everything, let everything

CHORUS
Watu wote, paza sauti sifu Bwana
Viumbe vyote, sifuni Bwana astahili
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana
Kwa vifijo, na kwa shangwe, vigelegele, sifu Bwana

CONTACT US :

Email : [email protected]